IS IT UNHEALTHY TO EAT FRUIT WITH MEAT OR ARE THERE OTHER FACTORS TO BE CONSIDERED?

According to many nutritionists and dieticians, eating fruit with meat at the same time can cause digestion problems. The...

VYAKULA TULAVYO VINAVYOTUMALIZA

CHIPSChips ambayo kwa kawaida hutengenezwa kutokana na viazi mviringo na kukaangwa kwenye mafuta, ni chakula kinachotakiwa kuliwa kwa...

COLON CANCER FOR MEN WHO EAT RED MEAT

men who eat red meat (beef, pork, or lamb) as a main dish five or more times a...

DISEASES PRODUCED OR AGGRAVATED BY MILK

Digestive disorders in some sensitive individual, cow's milk acts as irritant to the digestive system, producing a wide...

PREVENTION IS BETTER THAN CURE

 prevention is better than cure follow diet that is profitable in the body poor diet is the source...

TEN-DAY DIET TO IMPROVE THE LIVER

TEN-DAY DIET TO IMPROVE THE LIVER drink orange juice before breakfast on one day; and lemon juice before...

BAADHI YA FAIDA ZINAZO PATIKANA UKITUMIA PAPAI

Hizi ni baadhi ya faida ambazo unaweza kuzipata kwa kula papai au kunywa juisi yake Papai lina fibrin...

A BETTER WAY TO HEALTH

The normal state of the body is complete health, which includes every necessary so a person can freely...

Chakula ni dawa endapo ukitumia vyakula ambavyo ni halisia

CHAKULA ni dawa, lakini chaweza kuwa sumu pia. Katika makala yetu ya leo tunazungumzia namna ambavyo chakula kimekuwa...

Orodha ya baadhi ya vyakula maarufu vinavyopatikana kwenye ‘supermarket’ na maduka mengine ya bidhaa za vyakula, ambavyo hununuliwa na watu wengi bila kujua madhara yanayowakabili kwa kutumia vyakula hivyo mara kwa mara

 http://i01.i.aliimg.com/photo/v0/103932357/Whole_Peeled_Tomatoes.jpg
Katika makala ya leo, nakuletea orodha ya baadhi ya vyakula maarufu vinavyopatikana kwenye ‘supermarket’ na maduka mengine ya bidhaa za vyakula, ambavyo hununuliwa na watu wengi bila kujua madhara yanayowakabili kwa kutumia vyakula hivyo mara kwa mara.
NYANYA ZA KOPO
Nyanya kama ilivyo haina madhara, lakini namna inavyohifadhiwa ndiko kunakoiharibu na kuifanya kuwa na madhara kwa afya yako. Ili iweze kukaa kwa muda mrefu, ni lazima iwekewe kemikali na kopo la kuhifadhiwa nalo, lazima liwekewe kemikali za kulifanya lisipate kutu.
Vitu hivyo havibaki kwenye kopo wakati wa kuitoa nyanya, bali hutoka na nyanya na mwisho huingia jikoni na kuliwa. Hivyo nyanya ya kopo inaharibika na kuwa hatari kwa afya yako kutokana na kuwekewa kemikali za kuhifadhi. Katika mazingira ya kitanzania ambapo nyanya halisi zipo nyingi hadi zinaoza, huna sababu ya kula nyanya za kopo na uache nyanya halisi.
NYAMA ZA KOPO
Nyama za kopo (beef) nayo inaingia kwenye orodha ya vyakula hatari vya supermaket kutokana na kuwekewa kemilaki na chumvi nyingi ili kuifanya ikae kwa muda mrefu bila kuharibika. Ukiacha dosari hiyo, nyama nyingi za makopo, hutokana na ng’ombe wa kufugwa ambao huishi kwa kulishwa nafaka badala ya nyasi na hulishwa madawa mbalimbali ambayo huhatarisha afya ya mlaji.
Nyama bora na yenye kukidhi faida za kiafya ni ile inayotokana na ng’ombe wanaofugwa katika mazingira ya kula nyasi na mimea asilia (organic farming). Kwa mazingira ya kitanzania, huna sababu ya kununua nyama za kopo wakati nyama ipo nyingi buchani. Pia elewa kwamba hata katika nchi zilizoendelea, hivi sasa zinapiga vita ulaji wa nyama za makopo na badala yake zinahimiza ulaji wa nyama ‘fresh’ na wanaofugwa kiasili.
VIAZI, MAZIWA, SAMAKI
Imebainika kuwa kuna ‘viazi ulaya’, maziwa na samaki feki ambao wanapatikana kwa wingi katika ‘supermaket’ nyingi nchini. Imeelezwa kuwa ulimaji wa kisasa wa mazao mengi, vikiwemo viazi hutumia madawa ya kuongeza ukubwa wa mazao kwa teknolijia inayojulikana kama GMO (Genetically Modified Organisms).
Teknolojia hiyo, ambayo kwa sasa inapigwa vita sana dunia nzima, hulifanya zao kuwa kubwa na kuonekana bora kuliko kawaida kwa kutumia ‘madawa’ ambayo yana madhara kwa mlaji. Chips na crips nyingi zinazouzwa supermarket hutengenezwa kutokana viazi vinavyolimwa kwa teknolijia hiyo.
Hali hiyo haiko kwenye mazao tu, bali pia iko kwenye samaki na maziwa. Samaki tunaouziwa ni wale wa kufugwa ambao hulishwa vyakula vya kutengenezwa ili kuwafanya wazaane kwa wingi na kuwa wanene.
Halikadhalika, maziwa mengi ya paketi hutokana na ng’ombe wa kufugwa ambao nao inaelezwa kuwa hulishwa madawa ya kuwawezesha kutoa maziwa kwa wingi na hulishwa vyakula vitokanavyo na nafaka kama vile pumba na mahindi, badala ya nyasi kama ilivyo asili yake.
suala la kuchagua chakula kilichobora unapoenda supermarket ni jambo jema, kwani huko kuna vyakula vingi vizuri na vyenye manufaa kwa afya yako, lakini pia kuna vyakula hatari iwapo utaenda kununua kwa kufuata utamaduni wa kimagharibi kwa kuamini kila kinachoingizwa kutoka nje ndiyo bora.

Wengi wanafikiria kuwa unene ni fahari, heshima, lakini huenda wanasahau au hawajui madhara mengi ambayo yamejificha nyuma yake

 
Pamoja na watu wengi kupenda vyakula vya namna hii, inaelezwa na watalaamu kuwa vikizidi ni hatari kwa kuwa husababisha madhara mbalimbali mwilini.   
 
Imekuwa ikidhaniwa kuwa unene wa mwili ni kufanikiwa kiuchumi au kuukata, kumbe sivyo.  Uchunguzi wa kitaalamu unaonyesha kuwa watu wanene wapo katika hatari ya kupata maradhi ya kiharusi, kisukari na ugonjwa wa moyo.
Matumizi ya baadhi ya vyakula na kutokujua chakula gani wale na kwa wakati gani bado ni tatizo.
Baadhi yao hula vyakula hivyo usiku,  bila kujua athari kuwa vinazidisha unene na kuhatarisha maisha.
Wataalamu wanaeleza kuwa baadhi ya vyakula vikiliwa usiku husababisha athari kwa afya za watumiaji wake.
Athari kubwa zaidi ni kuongezeka uzito bila mpangilio, kukosa usingizi na kulala kama mfu kutokana na tumbo kujaa, vilevile kulala kwa usingizi wenye kukatikakatika, kujisaida haja ndogo kila mara. Madaktari na wataalamu wengine wa afya wanashauri kwamba ili kujiepusha na athari hizi ni vyema watu wanene wakatumia matunda, mbogamboga au vyakula vingine ambavyo vina kalori na mafuta kidogo au visiwe navyo kabisa.
Hivi ni baadhi ya vyakula ambavyo si vizuri kula wakati wa kwenda kulala kwa watu wanene na wenye uzito mkubwa.
Vyakula vilivyoandaliwa kwa mafuta mengi
Hii ni aina ya chakula ambacho hupaswi kula usiku kwa sababu havikufanyi ujisikie uchovu na uvivu asubuhi ya siku inayofuata, bali pia humpa msukosuko mtumiaji wa kwenda kujisaidia mara kwa mara.
Pamoja na vyakula vya mafuta, ice cream  ni tatizo kwa kuwa ukila sukari unaongezeka uzito bila sababu, pia hujipa msukosuko wakati wa kulala kwa kuwa baada ya muda huyeyuka na kuzaa tatizo nyingine. Aina hii ya vyakula husababisha magonjwa  ya kiharusi, kisukari na ugonjwa wa moyo.
Kabohaidreti (wanga) kwa wingi au vyakula vyenye sukari kupitiliza
Kundi hili ndilo ambalo watu wengi hulichanganya kwa kuamini kuwa tambi ‘supagheti’ ni chakula chepesi kuliwa usiku, kitu ambacho si sahihi.
Tambi ni moja ya vyakula ambavyo havipaswi kuliwa usiku kwani ina wanga mwingi ambao kutokana na kulala hakisagiki na kinaweza kuziba mirija ya damu na kusababisha madhara kwa mtumiaji.
Kipande kidogo cha keki kinaweza kuwa kizuri kwa mtumiaji, lakini akizidisha siyo nzuri kutokana na kuwa na sukari nyingi. Vilevile mkate mweupe uepukwe una wanga mwingi.
Nyama nyekundu na vyakula vyenye protini nyingi
Kula nyama nyekundu usiku kunamfanya mhusika asipate usingizi mzuri kwa kuwa tumbo linashindwa kusaga vyakula vigumu uwapo usingizini.
Kama ni lazima  kula nyama, basi ni vyema ikawa ni nyama nyeupe kama vile kuku na samaki na kuepuka vyakula vyenye protini. Ikishindikana, basi  glasi ya maziwa ya moto inaweza kukidhi haja bila kuwa na madhara.
Vyakula vyenye viungo vingi
Hupaswi kula vyakula vya aina hii kwa kuwa vina kemikali ambayo inaweza kukukosesha usingizi.
Kahawa
Kwa kawaida, kahawa ina kafeini ambayo inaweza kusababisha usumbufu wakati wa kulala kwani hata dawa zenye kafeini hapaswi kupewa mgonjwa mwenye matatizo ya kulala.
Vivyo hivyo, kwa asiyekuwa mgonjwa ina madhara pia hapa hata soda ambazo zina kafeini, pia zinasababisha mtumiaji kukosa usingizi wa kutosha, hivyo kushindwa kufanya mambo katika mpangilio maalumu siku inayofuata.
Mtaalamu  wa masuala ya chakula na lishe, Pazi Mwinyimvua anasema kuwa kama ni lazima kunywa kahawa, basi iwe ni saa tano au nne kabla ya kwenda kulala.
Pazi anasema kuwa kuna baadhi ya vitu vina madhara kwa mtumiaji bila kujua kutokana na kuwa na mazoea ya kutumia kitu hicho ambapo matokeo yake madhara yake huwa ni mhusika kupata tatizo la kukosa usingizi.
Kula chakula kingi
Madhara ya kula chakula kingi ni mengi, mojawapo ni kukosa usingizi kutokana na kushiba kupita kiasi.
Athari za kufanya hivi ni pamoja na kuukosesha mwili uwezo wa kusaga chakula kwa kuwa utakuwa umeshiba sana na mwili umepumzika.
“Ukiwa katika hali hii hata usingizi unakuwa ni wa shaka kwa kuwa unakuwa umeshiba sana, lakini hicho chakula hakifanyi kazi ipasavyo na ndiyo maana ni rahisi kuongezeka uzito, hakimeng’enyeki kwa urahisi,” anasema Pazi.
 Vyakula vilivyokaangwa
Vyakula hivi husababisha kiu, hivyo humlazimu mtumiaji kunywa maji mengi na kumlazimisha kwenda msalani mara kwa mara.
Pazi anasema mwili unahitaji kupumzika kwa kulala kwa saa sita hadi nane ili ufanye kazi na mhusika akiamka aanze upya.
“Kkubwa hapa ni kupunguza kula vyakula ambavyo vitahitaji maji au vyenye maji maji kuepuka kwenda msalani mara kwa mara au kuamka
Pombe
Kunywa pombe saa chahe kabla ya kulala au kunywa na kulala huku ukiwa nazo kichwani hata kama hujalewa siyo nzuri kiafya kwa kuwa huufanya mwili kulala kama mzigo hivyo inakuwa siyo kupumzika bali kulazimika kulala kwa ulevi.
Mtaalamu mmoja wa lishe anasema kuwa mwili unahitaji kupumzika ukiwa huru na siyo kulazimishwa na kilevi, kwani kupumzika ni pamoja na kufahamu sasa naenda kupumzika na mwili unauandaa kwa ajili hiyo, lakini ukiwa umelewa hali kama hiyo haipo.
Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani (Mfumo wa Chakula), Dk Raymond Mwenesano wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) anasema kuwa kwa kawaida mwili wa binadamu unapohitaji mapumziko au unapofika muda wa  kupumzika inabidi uwe huru kwa maana ya kuwa katika hali ya kawaida, hususan sehemu za ndani kama tumbo.
Anasema kuwa kama utapumzika huku ukiwa na vitu vya ziada ambavyo vitakuwa na usumbufu kwako kama kushiba, kulewa unakosa ile dhana nzima ya kupumzika na matokeo yake ni kutimiza wajibu wa kulala na si kulala kwa ajili ya kupata mapumziko.
Mariam Rashid, ambaye ni mnene kiwajihi anasema kuwa tangu aanze kupunguza kula vyakula vyenye wanga wakati wa usiku amepungua uzito kwani alikuwa ni lazima ale wali au chapati usiku na kujikuta ana uzito mkubwa akashauriwa na daktari kupunguza uzito na kwa kuanza alianza kupunguza kula na kushiba usiku ikiwemo kuacha vyakula vyenye wanga.
“Nakula matunda na mboga mboga kabla ya kulala na huu ni ushauri niliopewa na daktari wakati ambapo nilikuwa na uzito mkubwa ilikuwa karibu kilo 70 wakati urefu wangu ni futi tano, ilikuwa ni hatari na daktari alinikemea na kunitaka nipungue kwa kuwa nilikuwa nimeshaanza kupata tatizo la miguu na kukosa usingizi,” anasema.
Mtaalamu wa masuala ya Saikolojia wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Modesta Kamongi amesema kuwa si tu unene unaohatarisha afya ya mhusika, bali pia humfanya asijiamini.
Anasema ni vyema kila mmoja akawa na mwili wa wastani kwani mara nyingi wamekuwa wakipata malalamiko kwa watu wanene hujichukia na kutaka wapatiwe ushauri wa jinsi ya kukabiliana na wale wanaowatania.

BAVICO1: Is nutritious antioxidants and full of natural vitamins and minerals

It can be used as part of diet, a colorie controlled diet, a daily supplement and as a...

IT IS CERTAINLY A NOVELTY FOR THE MAJORITY OF THE PEOPLE TO LEARN THAT THE HARDWORKING AND TIRELESS BEE HAS TO VISIT 15,000,000 FLOWERS BEFORE IT CAN GATHER ONE KILOGRAM OF HONEY AT THE RATE OF EIGHT HOURS OF WORK A DAY A MAN NEEDS TO WORK EXACTLY 3,000 DAYS SO AS TO OBTAIN THAT SAME AMOUNT OF HONEY

The distance he would have to travel would be so long that is as many times as the...

AVOC: is big nutritional punch dry powder that help you to stay health and live longer

AVOC is rich source of anticyclonic contain antioxidant that protect against colorectal cancer EMPLOYED AGAINST: Ant-tumor, Antioxidant, Digestive,...

BAVICO2: Is highly nutritious,antioxidants and full of natural vitamins and minerals it can be used as part of a diet, a colorie controlled diet, a daily supplement and as a natural medicine

BAVICO2 Is highly nutritious,antioxidants and full of natural vitamins and minerals it can be used as part of...

FEMU: due to its estrogen-like properties, FEMU has been found to help increase libido and lessen the effect of hot flashes and mood fluctuations that are common symptoms of menopause and PMS

FEMU due to its estrogen-like properties, FEMU has been found to help increase libido and lessen the effect...

KISUKARI NI UGONJWA HATARI UMEPOTEZA NDUGU NA JAMAA JIHAZALI KWA KULA AU KUNJWA VINYWANI NA CHAKULA VINAVYO SABABISHA UGONJWA HUO

KISUKARI ni moja ya magonjwa yanayoathiri watu wengi siku hizi nchini mwetu na hata nje. Kati ya hao,...

WHAT YOU NEED TO EAT? 19

The scene of Christ's temptation was to be a lesson for all his followers. When the enemies of...

KWA WALAJI WA SAUSAGE,HIVI NDIVYO INAVYOKUUA


Sausages kill, new study warns While Tanzanians are getting increasingly fond of sausages, a recent research has linked them with early deaths from cancer and heart diseases.People who regularly eat a helping of more 160 grammes – the equivalent of about three sausages – have much greater chance of dying prematurely compared to those who don’t touch the delicacy, the study , based on findings in 10 European countries, point out.

WHAT YOU NEED TO EAT? 18

      Our Redeemer, laying aside his glory and majesty, to take human nature, and to die man's sacrifice,...

WHAT YOU NEED TO EAT? 17

 Some animals that are brought to the slaughter seem to realize by instinct what is to take place,...

WHAT YOU NEED TO EAT? 16

  Many have expected that God would keep them from sickness merely because they have asked him to...

Copyright © 2016 JOFLO HEALTH REFOMATION CENTER