kunywa jusi ya karoti kwa afya yako
Watu
wengi hawaipendi juisi ya karoti lakini inategemea
imetengezwaje.Katika utengezwaaji ili uenjoy juice yako lazima iwe haina
maji yaliyoongezwa wala sukari.Ni juice tuu ya karoti pekeee.
KWAKUNYWA JUICE YA KAROTI UTAPATA FAIDA ZIFUATAZO.
1.Karoti ina carotine ambayo hukupa uwingi wa vitamins A,B,na E
2.Kwa sababu ya uwingi wa madini juice ya karoti inasaidia sana afya ya macho katika kuona vizuri,uimara wa mifupa,meno na kucha.
3.Pia ngozi nyororo nayenye afya bila kusahau nywele.
karoti ilio andaliwa
Karoti ambayo bado haijaandaliwa
4.Juisi ya karoti inasaidia kupunguza uwezokano wa kupata kansa ya ngozi na matiti.
5.Ukosefu wa vitamini A husababisha
ngozi kukauka,kucha na nywele kuwa dhaifu sasa juisi ya karoti ina
uwingi wa vitamin
6.Kwa sababu ya uwingi huo wa vitamin A husaidia
ini kufanya kazi yake ipasavyo. ili ipatikane vitamin A
ya kutosha kunywa juisi hii kila siku sio ukijisikia.
7.Haina cholestral
8.Madini kibao yanapatikana kwenye karoti Calcium,Potassium,Copper,
Iron, Magnesium, Manganese, Phosphorous
9.Kwa mama anaenyonyesha karoti itamsaidia kupata maziwa yenye afya kwa mtoto.
Hizi ni baaadhi zipo kibao,kunywa jusi ya karoti kwa afya yako
0 comments: